| MADAKTARI wa Huduma ya kwanza wafungua toleo maalumu la miaka 57 ya Elimu bila ya Malipo, Kitaifa maadhimisho hayo yamefanyika Kisiwani Pemba hivi karibuni. |
| WANAFUNZI wa Skuli za Msingi Kisiwani Pemba wakisoma, toleo maalumu la Miaka 57 ya Elimu bila Malipo Kitaifa Maadhimisho hayo yamefanyika Kiswani Pemba hivi Karibuni. |
| WANANCHI mbali mbali Kisiwani Pemba wakisoma kwa umakini Toleo maalumu la Miaka 57 ya Elimu bila Malipo kitaifa maadhimisho hayo yamefanyika Kisiwani Pemba hivi karibuni. |
0 Comments:
Post a Comment