Picha za Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiwasili Kigoma

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,  Thobias Andengenye  (katikati) na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa huo,  Amandus Nzamba wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kuanza ziara kikazi mkoani humo, Septemba 16, 2021.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa dini wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, Septemba 16, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment