Picha 7 za kimaa wa maajabu Ulimwenguni wanaopatikana Zanzibar pekee

Aina hii ya kima wanaitwa kima Punju kimaumbile wanakua na rangi nyekundu kwenye mgongo wao,ni kima wasiopenda na hawali vitu vitamu mfano wa ndizi na vyenginevyo,chakula chao kikubwa na vilele vya miti na mimea,wanapatikana zaidi msitu wa Jozani Mkoa wa kusini Unguja.







           Picha zote zina hati miliki unaweza kuwasiliana na namba hii 0712550666

About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment