Baadhi
ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali kisiwani Pemba wakifuatilia
kwa makini mafunzo ya siku tatu juu ya mradi wa ushirikishaji wanawake katika
uongozi,mafunzo hayo yameandaliwa na TAMWA-ZNZ Chini ya ufadhili wa Ubalozi wa
Norway Nchini Tanzania.
Mratib wa TAMWA ofisi ya
Pemba Fat-hiya Mussa Said akizungumza na
waandishi wa habari katika mafunzo hayo.
 |
MRATIBU wa mradi wa ushirikishaji wanawake katika uongozi kutoka TAMWA ZNZ, Salma Amir Lusangi akifungua mafunzo ya siku tatu kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali Pemba, mafunzo hayo yalioandaliwa na TAMWA Zanzibar Ofisi ya Pemba, chini ya wa Ubalozi wa Norway Nchini Tanzania. |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
Post a Comment