Habari picha Bongo Zozo alivyotinga Baraza la wawakilishi Z'bar

 

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid akisalimiana na Balozi wa kutangaza utalii ambae pia ni mshabiki wa timu ya Taifa Stars Nicholas Reynolds [Bongo Zozo] wakati alipofika Baraza la wawakilishi Chukwani kufuatia mualiko wa mhe Suleiman Makame Ali Mwakilishi wa jimbo la Ziwani.

About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment