PICHA 3 za Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaaliwa azungumza na uongozi wa Red Cross Socierty.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Tanzania Red Cross Society   baada ya kuzungumza nao ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, 

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Rais wa Tanzania Red Cross Society, Mhe. David Kihenzile Tuzo ya Red Cross Society baada ya mazungumzo yake na viongozi wa Chama hicho ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Tanzania Red Cross Society  ambao walikwenda  ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa  jijini Dodoma kutoa taarifa mbalimbali wanazozifanya nchini, 

About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment