Picha 3 za Mkurugenzi wa USAID Tanzania akizungumza na waziri wa maliasili na utalii Nchini

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ( kulia) akisistiza jambo wakati akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Tanzania wa  Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ,Veeraya Kate Somvongsiri wakati alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dodoma ambapo pamoja na mengine wamezungumzia hatua ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii inazichukua katika kuwalinda watalii ili kuweza  kukabiliana na tatizo la ugonjwa wa Corona 

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ( kulia) akiwa katika picha ya pamoja  na Mkurugenzi wa Tanzania wa  Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ,Veeraya Kate Somvongsiri mara baada ya kufanya mazungumzo  leo Jijini Dodoma ambapo pamoja na mengine wamezungumzia hatua ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii inazichukua katika kuwalinda watalii ili kuweza  kukabiliana na tatizo la ugonjwa wa Corona 

About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment