Picha 3 za Mbunge Viti Maalum Kusini Pemba Zulfa Mmaka Omar akitoa misada Hospital ya Chake Chake



MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Kusini Pemba Zulfa Mmaka Omar (katikati), akimkabidhi Afisa Uwendeshaji Tiba Pemba Dk.Yussuf Hamad Iddi (wapili kutoka kulia), kitanda cha kubebea wagonjwa wanaofika katika hospitali ya Chake Chake, hafla iliyofanyika ndani ya Hospitali hiyo.

 
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Kusini Pemba Zulfa Mmaka Omar(kushoto) akimkabidhi vitakasa mikono Afisa Uwendeshaji Tiba Pemba Dk.Yussuf Hamad Iddi, kwa ajili ya kituo cha afya Wesha Wilaya ya Chake Chake

MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Kusini Pemba Zulfa Mmaka Omar(kushoto) akimkabidhi mipira ya kuzalishia mama wajawazito Afisa Uwendeshaji Tiba Pemba Dk.Yussuf Hamad Iddi, kwa ajili ya kituo cha afya Wesha Wilaya ya Chake Chake.( Picha zoote na Abdi Suleiman)



About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment