Habari picha, Waziri Simai alivyoongoza Tamasha la elimu bila malipo Pemba

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Simai Mohamed Said, akizungumza na walimu na wanafunzi wa skuli wa mikao mitano ya Zanzibar, katika maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba.

 

WANAFUNZI wa Skuli za Msingi na Sekondari kutoka Mikoa mitano ya Zanzibar, wakifuatilia kwa makini maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba.

MAAFISA wadhamini kutoka taasisi mbali mbali za serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakifuatilia maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba.



MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othaman Massoud Othaman akiwahutubia Wanafunzi,Walimu na wananchi wa Mikao mitano ya Zanzibar, katika maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba.



KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Khamis Juma, akizungumza wakati wa maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba.

WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba, makatibu Tawala wa Wilaya nne za Pemba, wakifuatilia kwa makini maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba.



             (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


 

About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment