RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Hamid Seif Said kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Kubingwa Mashaka Simba kuwa Katibu wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Viongozi aliowateua hivi karibuni wakiwa wamesimama nyuma na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
Post a Comment