Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama miche ya michikichi wakati alipokagua kitalu cha miche katika shamba la michikichi la Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kambi ya Bulombora mkoani Kigoma, Septemba 16, 2021
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama miche ya michikichi wakati alipokagua kitalu cha miche katika shamba la Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kambi ya Bulombora mkoani Kigoma, Septemba 16, 2021. Wa pili kulia ni Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitumia kiona mbali kukagua shamba jipya la michikichi la Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ya Bulombora Mkoani Kigoma akiwa katika ziara ya kikazi ya mkoa huo, Septemba 16, 2021. Kushoto ni Meneja wa Shamba hilo, Meja Mwakibola.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
Post a Comment