Picha za Kufunga Kampeni Chama cha ACT wazalendo katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde Wilaya micheweni Pemba

Baadhi Wanachama wa chama cha ACT wazalendo wakiwa katika mkutano Ufungaji Kampeni za Uchaguzi mdogo kwa nafasi ya Ubunge jimbo Konde Pemba,mkoa wa kaskazini Pemba.


Makamu wa Mwenyekiti  wa Act  Wazalendo Juma Duni Hajji akisalimiana na Mwenyekiti wa Vijana
Taifa wa chama hicho Abdul Nondo mara tuu ya kufika kwenye Mkutano wa Ufungaji wa Kampeni wa Ubunge konde Pemba
Aliyekuwa Mke wa Maalim Seif Sharf hamad   ambaye alifariki mwanzoni mwaka huu Mama Awena Sanani akisalimiana na wafuasi wa chama hicho




 



About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment