Picha za Mkurugenzi wa CFI kutoka Canada Damian Hardie alipotembelea ofisi za utekelezaji mradi wa Viungo Z'bar

Meneja mkuu wa utekelezaji mradi wa Viungo Zanzibar Amina Ussi Khamis akizungumza na Mkurugezi wa Intenation Community Forest (kulia)  Damian Hardie kushuto ni Mkurugenzi wa CFP Mbarouk Mussa Omar walipofika ofisini kwake Mwanakwerekwe mjini Unguja.



Mkurugenzi wa CFP Mbarouk Mussa akibadilisha mawazo na Mkurugenzi wa CFI Damian Hardie katika ofizi wa utekelezaji mradi wa Viungo Mwanakwerekwe mjini Unguja.

Kaimu Meneja utekelezaji mradi wa Viungo kanda ya Unguja Alli Said akifungua mkutano wa ukaribisho kwa Mkurugenzi wa CFI alipotemebea kwa lengo la kuzungumza na watendaji wa mradi wa Viungo ofisi za Unguja.


Baadhi ya Maafisa kutoka mradi wa Viungo wakisikiliza katika mkutano huo.


Mkurugenzi wa CFP Mbarouk Mussa akisisitiza jambo katika mkutano huo.






 

About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment