MKUU wa Mkoa wa
Kusini Pemba Mattar Zahor Massoud, akizungumza katika kikao cha pamoja baina ya
wakuu wa Mikoa, Wilaya ya na Watendaji kutoka kampuni ya MECCO juu ya uwanzaji
wa Ujenzi wa barabara ya Wete-Chake Chake, halfa iliyofanyika Wete Mkoa wa
Kaskazini Pemba.
MKURUGENZI
Mwendeshaji kutoka Kampuni ya MECCO Abdulikadir Mohammed, akizungumza katika
kikao cha pamoja baina ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya na viongozi kutoka Wizara ya Ujenzi
Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, kikao kilichofanyika Wete Mkoa wa Kaskazini
Pemba.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
Post a Comment