Picha nne za Rais Samia alipokutana na Naibu katibu mkuu umoja wa Mataifa

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Amina J. Mohammed wakati Bibi Amina alipofika Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma leo Sept 11, 2021.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Amina J. Mohammed wakati Bibi Amina alipofika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Sept 11, 2021.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Amina J. Mohammed baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Sept 11, 2021.

 PICHA NA IKULU.

About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment