Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi (kulia) na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile (wa pili Kulia) baada ya kuzindua Mradi wa Vituo vya Huduma Pamoja (One Stop Centre) kupitia Shirika la Posta Tanzania kwenye viwanja vya Posta Makao Makuu jijini Dar es Salaam, Septemba 6, 2021.
 |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Mradi wa Vituo vya Huduma Pamoja (One Stop Centre) kupitia Shirika la Posta Tanzania kwenye viwanja vya Posta Makao Makuu jijini Dar es salaam, Septemba 6, 2021 |
 |
| Baadhi ya washirki wa uzinduzi wa Mradi wa Vituo vya Huduma Pamoja (One Stop Centre ) kupitia Shirika la Posta Tanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozindua mradi huo kwenye viwanja vya Posta Makao Makuu jijini Dar es salaam, Septemba 6, 2021. |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
Post a Comment