Habari picha, Spika wa Bunge Job Ndugai akizindua mpango mkakati wa kupambana na kifua kikuu

 

Spika wa Bunge, Job Ndugai akikata utepe akizindua muungano wa wadau kupambana na kifua kikuu Tanzania uliofanyika leo katika viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021, wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwin Mollel na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Kifua kikuu, Mhe. Fatma Taufiq (kulia)

Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Kifua kikuu, Wabunge vinara wa kupambana na Kifua kikuu pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo kabla ya kuzindua muungano wa wadau kupambana na kifua kikuu Tanzania uliofanyika leo katika viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, 

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Kifua kikuu, Mhe. Fatma Taufiq akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Kifua kikuu, Wabunge vinara wa kupambana na Kifua kikuu pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo katika hafla ya uzinduzi wa muungano wa wadau kupambana na kifua kikuu Tanzania uliofanyika leo katika viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma,

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwin Mollel akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Kifua kikuu, Wabunge vinara wa kupambana na Kifua kikuu pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo katika hafla ya uzinduzi wa muungano wa wadau kupambana na kifua kikuu Tanzania uliofanyika leo katika viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma,

About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment