Habari picha kutoka Bukoba Tanzania,mjue Meja Jenerali aliongoza vita kati ya Tanzania na Uganda

 

Eneo la Bukoka njia ya kuelelea Nchi Jirani ya Uganda.

Sanamu ya Askari wa JWTZ Luteni Jenerali Silas Mayunga,askari huyu ndio anatajwa kuongoza vita vya Tanzania na Uganda aliehitimu mafunzo yake ya kijeshi Julai 26 mwaka 1963 Nchini Israil na miaka 10 badae 1973 alifuzu kozi ya unadhimu Nchini Canada aliongozi vita vya Tanzania na Uganda mnamo mwaka 1979-1980.


Sehemu ya bandari inayotokana na ziwa victoria mkoani Bukoba 


Eneo la bandari ya Bukoba ambalo watu hutumia kwa ajili ya usafiri kati ya mkoa huo na Mwanza kupitia meli maalumu za mizigo la Abiria.


Picha zote  na Mpiga picha wetu Msuya Stephano

About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment