ANgalia Picha za Naibu Waziri wa Afya, maendeleo ya jamiii, Jinsia, wazee na watoto Mwanaid Ali Khamis akishiriki katika kuchangia nguvu katika ujenzi wa Zahanati

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Mwanaidi Ali Khamis (Mwenye kiremba) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo Kemilembe Lwota (kulia) wakishiriki katika kuchangia nguvu zao katika miradi ya maendeleo kwa kuchanganya zege kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati ya Kaniha, Wilayani Biharamulo, Kagera.


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Mwanaidi Ali Khamis (Mwenye kiremba) akisaidiana na Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo, Kemilembe Lwota kumwaga zege katika Ujenzi wa Zahanati ya Kaniha Wilayani Biharamulo ikiwa ni sehemu ya uhamasishaji jamii kuchangia nguvu zao katika miradi mbalimbali ya maendeleo




 Asante kwa kutembelea tovuti hii,sasa tumekurahisishia kupata habari mbali mbali kwa njia ya haraka zaidi cha kufanya ingia play store kisha andika jina marhaba news na download  au fungua link hii hapa https://play.google.com/store/apps/details?id=iot.net.marhabanews




About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment