 |
| Mkurugenzi wa CFP Mbarouk Mussa Omar alipokua akitoa neno la ufunguzi katika mkutano huo. |
 |
| Baadhi ya wafanyakazi wa mradi wa Viungo wakifuatilia kwa umakini mkutano huo. |
 |
| Ally Mhammed mkuu wa miradi TAMWA-ZNZ |
 |
| Sharif Maalim Hamad,ambae ni Meneja utekelezaji wa mradi upande wa Pemba. |
 |
| Wafanyakazi wa mradi wa Viungo wakifuatiia mkutano huo. |
 |
| Ally Abdalla,ambae ni mkuu wa kitengo cha ufuatiliaji na tathmini kutoka CFP. |
 |
Mkuu wa kitengo cha mawasiliano kupitia mradi wa Viungo Saphia Ngalaph.
|
 |
| Mohamed Khalid ambae ni mkuu wa kitengo cha Uhasibu TAMWA-ZNZ akicangia katika mkutano huo. |
Mkurugenzi wa taasisi ya Community Forest in Pemba Mbarouk Mussa Omar amewataka watendaji wa mradi wa viungo Zanzibar kufanya kazi kwa kujituma zaidi ili kuleta manufaa kwa jamii kupitia mradi huo.
Aliyasema hayo katika ukumbi wa Samail Gombani Chakechake wakati alipokua akizungumza na wafanyakazi wote wa mradi huo kutoka Unguja na Pemba.
Alisema katika kipindi cha mwaka mmoja wa utekelezaji mradi huo kuna jitihada kubwa ambayo imefanyika katika mradi huo licha ya kuwepo kwa changamoto za hapa na pale.
Alisema si wakati sahihi kuzikubali changamoto hizo kuendelea badala yake kila mfanyakazi anapaswa kutekeleza majukumu yake kikamilifu ili mradi huo uweze kufikia malengo yake.
Kwa upande wake mkuu wa kitengo cha utafiti na tathmni Alli Abdalla alisema kila mfanyakazi ana wajibu wa kuhakikisha anautambua yema mradi huo.
Alisema kitedo cha wafanyakazi kuutambua mradi huo kutawafanya wawe weledi katika majukumu yao ya kila siku.
Sambamba na hili aiwataka wafanyakazi kufahamu uwepo wa mradi huo unalenga kutatua changamoto mbali mbali za kilimo ikiwemo sera za kilimo pamoja na uhaba wa masoko.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
Post a Comment