Picha tano shughuli za Uvuvi zinazavoendelea pwani ya Mkokotoni kaskazini Unguja

 


Mchuuzi wa Samaki katika pwani ya Mkokotoni mkoa wa kaskazini Unguja akimuamdaa samaki aina ya pweza kabla ya kumuuza kwa wateja wake ambapo ni kawaida pwenza kufundwa kwenye mawe kwa lengo la kulainishwa kabla ya kwenda kwa mlaji kupunguza ugumu.

                                       



Wachuuzi mbali mbali wakisubiri samaki katika pwani ya Mkokotoni mkoa wa kaskazini Unguja

Samaki aina ya ngizi na wengine wakiwa kwenye mnada katika soko hilo.






Picha zote na marhaba news.

About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment