Habari picha Waziri mkuu Kassim Majaliwa maadhimisho siku ya Ukimwi Duniani

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Ofisa Mtendaji Mkuu wa Asasi ya Vijana Tanzania (TAYOA) Peter Masika, wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo kitaifa yanafanyia mkoani Mbeya, Decemba 1, 2021



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Joyce Lyimo kutoka Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam wakati alipotembelea banda la Baraza la Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Tanzania katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo kitaifa yanafanyia mkoani Mbeya, Decemba 1, 2021.  Kushoto ni Marianus Mkinga wa NOCOFA Njombe, kulia ni Naibu Spika na mbunge wa Mbeya Mjini Dkt. Tulia Ackson na watatu kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakiwapungia waandamaji katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo kitaifa yanafanyia mkoani Mbeya, Decemba 1, 2021. kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera na kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama,





About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment