Picha zinazoonesha ulipofikia msikiti wa Kengeja Sokoni msikiti ambao hadi sasa ujenzi wake unatekelezwa kwa michango ya watu mbali mbali na hauna mfadhili,hivyo unaombwa wewe unaetazama picha hizi kuchangia kiasi ulichonacho ili kufanikisha ujenzi wa msikiti huu.
Mahitaji hadi sasa ni mifuko 90 ya saruji,milango,madirisha na vifaa vyote vitakavyoweza kusadia kumalizia msikiti huu.Unaweza kuwasilisha mchango wako kupitia namba 07777996553 jina limesajiliwa Maulid Haroub au unaweza kuwasiliana na mratib wa ujenzi wa msikiti huo kupitia namba hii hapa.0778460631 ambae ni Habib Said. Au unaweza kuchangia pia kupitia Bank Account Number inayosomeka hapo chini.
0 Comments:
Post a Comment