Shaka afanya ziara ya Kuimarisha chama Mtwara



Katibu wa  Itikadi na Uenezi chama cha Mapinduzi (CCM)  Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kuhamasisha uhai wa Chama hicho, kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025, kupokea taarifa za mashina na kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la sensa ya watu na makazi 2022. katika mkowa wa Mtwara

 


 

About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment