Picha za Waziri mkuu akikagua ujenzi wa Chuo cha VETA

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipanda mti baada ya kukagua ujenzi na ukarabati wa mjengo ya Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Karagwe, Septemba 19, 2021.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi na ukarabati wa majengo ya Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Karagwe, Septemba 19, 2021. 

Moja kati ya majengo yanayojengwa na serikali katika Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Karagwe. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi na ukarabati wa majengo katika Chuo hicho Septemba 19, 2021. 




About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment