 |
| Wabeba mizigo katika soko la jumla Jumbi Wilaya ya kati Unguja wakipandisha mizigo ilionunuliwa na wateja kwenye gari na kuelekea Jambiani. |
 |
| Baadhi ya wafanya biashara kwenye soko la Jumbi wakisubiri wateja wanaofika katika soko hilo. |
 |
| Baadhi ya akinamama ambao ni wafanya biashara kwenye soko hilo wakijadili jambo huku wakiendelea kusubiri wateja. |
 |
| Gari ya Cary ambayo tayari imeshapakiwa mizigo kwa ajili ya kuelekea soko la Mboga mboga Mombasa Zanzibar. |
Kondakta akiweka mizigo sawa ilonunuliwa na wateja sokoni hapo na kuelekea Makunduchi.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
Post a Comment