Picha 2 za Waziri mkuu Kassim Majaliwa aliposhiriki mazishi ya Mjomba wake

 



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika sala ya kumuombea  marehemu mjomba wake, Shabaan Issa kabla ya mazishi yaliyofanyika  katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Septemba 3, 2021. 

Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika mazishi ya mjomba wake, Shaban Issa kwenye makaburi ya Nandagala wilayani Ruangwa, Septemba 3, 2021.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment