Picha 5 muuzaji halua maarufu Chakechake Pemba

 

  • Mtenegenezaji na muuzaji halua maarufu Chakechake kisiwani Pemba Mojamed Saleh akitoa halua hio kwa ajili ya kuwauzia wateja wake ambapo kwa sasa kilo moja ya halua ni shilingi elfu 8.

Mtengenezaji halua huyo akiandaa kikanda maalumu ambacho hutumika kwa ajili ya uhifadhiaji wa halua.

Akiingiza halua hio kwenye kikanda chake kabla ya kumuuzia mteja.

















About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment