Picha 4 ziara ya Rais Mwinyi Pemba

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali mwinyi akisoma taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib, kabla ya kuaza kwa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi mikutano wa Micheweni.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa mkutano wa Wilaya ya Micheweni Pemba, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba leo 31-8-2021. 

BAADHI Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakifuatilia taarifa ya utekelezaji ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.

BAADHI ya Mawaziri na Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji Kazi ya Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib, kabla ya kuaza kwa ziara katika Mkoa huo.hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Micheweni.


Picha zote na Ikulu


About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment