MWANA FA, NIKKI WA PILI, SHILOLE NA JOH MAKINI WAFUNGUKA KUSAGA ALIVYOWASAIDIA MAISHA YAO


usiku wa Mchongo wa Big Joe uliofanyika katika parking Za Clouds Media, na hawa hapa ni Nikki wa Pili, Mwana FA Viongozi ambao waliokulia katika tasnia ya muziki na kupata airtime ya kutosha kupitia Clouds Media, Pamoja Na Msanii Shilole na Joh Makini, Wao Pia wamekua na haya ya kusema kuhusu Mchongo wa Big Joe na mchango wake katika kuwapa michongo vijana wengi.

About Marhaba

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment