Matukio ya Picha tofauti kutoka Bungeni Dododoma leo


Spika wa Bunge, Job Ndugai akiingia Bungeni kuongoza Bunge la 12 Mkutano wa Nne Kikao cha Kwanza Jijini Dodoma

Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongoza Bunge la 12 Mkutano wa Nne Kikao cha Kwanza Bungeni 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. Selemani Jafo (kushoto) akiteta jambo na Waziri wa Uwekezaji, Mhe. Geoffrey Mwambe wakati wa Bunge la 12 Mkutano wa Nne Kikao cha Kwanza Bungeni Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Mhe. Emmanuel Mwakasaka akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo wakati wa Bunge la 12 Mkutano wa Nne Kikao cha Kwanza Jijini Dodoma, 

Waheshimiwa Wabunge wakisimama kumkumbuka aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Hayati Elias Kwandikwa wakati wa kikao cha kwanza cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 12 Bungeni Jijini Dodoma

Waheshimiwa Wabunge wakishiriki kikao cha kwanza cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 12 Bungeni Jijini Dodoma

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deo Ndejembi akijibu hoja za Waheshimiwa Wabunge wakati wa Bunge la 12 Mkutano wa Nne Kikao cha Kwanza Bungeni Jijini Dodoma 

Wanakwaya wa ofisi ya Bunge wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 12 Mkutano wa Nne Kikao cha Kwanza Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 31, 2021

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About mmedia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment